Kiwanja kinauzwa Buyuni, Dar Es Salaam
* *NEW NEW NEW*
* 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wale wa kulipa mdogo mdogo bila stress (Mzigo huu hapa)
*BUYUNI 17*
⚪️Km 49 kutoka Ferry Mwendo wa saa moja kutoka ferry.
⚪️ Eneo ni tambarare limezungukwa na makazi ya watu
⚪Sqm1@ 8,000Tsh cash
⚪Sqm1@10,000Tsh installment ya miezi 20
*Anza na 250,000/*..kwa kiwanja cha Sqm 500 bei nzima ya kiwanja ni sh. *5,000,000/=*
Lipa *4,000,000/=* cash kwa kiwanja cha sqm *500*