Kiwanja kinauzwa Chamazi, Dar Es Salaam
🏘️NYUMBA NZURI SANAAA INAUZWA CHAMAZI
💰BEI MILLION 13.5
NYUMBA INA VYUMBA VITATU KIMOJA NI MASTER
📞 0658304822
MTAA NI MZURI SANAAA
NA MAJIRANI WA HAPO WOTE WASHUA YANI MATAJIRI WA UCHUMI WA KATI
PEMBENI YA NYUMBA KUNA SHULE INAFAULISHA SANA WATOTO WAKO UNAWAHAMISHIA HAPO MAMBO YA GARAMA ZA SCHOOL BUS UNASAHAU
UKUBWA WA ENEO NI SQMT 380
NYUMBA IPO MBELE YA BARABARA YA MTAA
EEH MTEJA WANGU WA THAMANI MUNGU AKUPE NINI TENA ZAIDI YA NEEMA HII YA MAISHA
NYUMBA IPO KARIBU NA STAND UKISHUKA HAUPANDI BODA
HATI MAUZIANO YA SERIKALI YA MTAA
UNAKAGUA KWANZA UKIJIRIDHISHA NDO UNALIPIA
Gharama ya kukupeleka site ni elf 30
👉KUMBUKA TUNANUNUA NYUMBA KUTOKA KWA WAMILIKI HALALI TU KWAHIYO KAMA UNA NYUMBA YAKO UNAUZA FURSA NDO HII
KWA MAHITAJI YA KUUZA AU KUNUNUA NYUMBA/KIWANJA
KUPANGA NYUMBA/GODOWN
⭐ USISITE KUWASILIANA NA DALALI KIJICHI NAMBA MOJA