Kiwanja kinauzwa Chanika, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA INAUZWA IPO CHANIKA NYEBURU JIJI LA ILALA DAR ES SALAAM
BEI MILIONI { 35,000,000/= MILIONI }
NYUMBA INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER BEDROOM SITTINGROOM DININGROOM JIKO PUBLICK TOILET INA MAJI UMEME FENCE NK
NYUMBA INA HATI YASEREKALI YAMTAA
UKUBWA WA KIWANJA SQMT { 400 }
UMBALI KUTOKA MAIN ROAD MITA { 200 }
NYUMBA IPO JIRANI NA HUDUMA ZOTE ZAKIJAMII
WAHI SASA MDAU WANGU UJIPATIE NYUMBA KWA BEI POA
WOTE MNAKARIBISHWA
Piga simu 0685 704 791 Whatsapp 0659 262 931