Kiwanja kinauzwa Chanika, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri ya kisasa pamoja na pagale zote zipo kwenye kiwanja kimoja. Iko na HATI yake
Location Chanika Buyuni mtaa wa chama block 4.
Dakika 6 kutoka barabara kuu ya Lami
Bei Million 53 fixed price
Ukubwa wa eneo sqm 1200
TUPIGIE CM
0672580680
0678588718. WHASP