Kiwanja kinauzwa Chanika, Dar Es Salaam


NYUMBA NZULI NA YA KISASA INAUZWA CHANIKA MANISPAA YA ILALA
NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE JIKO DAINING PUBLC CHUMBA MASTER
ENEO SQM 400
BEI MCHEKEA MIL 38
NYUMBA IPO UMBALI WA MITER 40 TU TOKA BARABARA YA LAMI
NYUMBA IPO CHANIKA MWISHO
SEVICE CHAJI 30000
KARIBU SANA MTEJA