Kiwanja kinauzwa Chanika, Dar Es Salaam


Karibu sana ndugu mteja umiliki kiwanja na #mlewarealestate
Mradi unapatikana Chanika Wilaya ya Ilala Dar es salaam
Kwenda site ni siku zote
Ukubwa wa kiwanja ni 20*20 β
Ni mita 500 kutoka barabara kuu β
Ofisi zetu zipo Chanika mwisho karibu na Shell ya Oilcom au Bank π¦ ya NBC
BEI NI TSH MILIONI TATU (3,000,000)/=
Piga Simu Zetu 0657 840 010
0623 656 754
NB, Hakuna baba mwenye gari Bali baba mwenye nyumba
Uaminifu ndio nguzo yetu πππ