Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja Kinauzwa Goba Kulangwa – Karibu Na Barabara Kuu!
Kiwanja hiki ni kama kinatupwa – bei ni zawadi kulinganisha na ubora wa eneo!
Kipo umbali wa 2KM tu kutoka barabara kuu, kwenye mtaa tulivu sana, na barabara za ndani ni nzuri sana – tofauti kabisa na maeneo mengine ya jirani.
Ukubwa: SQM 1200
Bei: Milioni 55 TZS (Inazungumzika kidogo)
Mahali pazuri sana pa kujenga au kuwekeza
Wasiliana nasi:
0742892195 call whatsapp