Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa kizuri sana kipo goba mwanzoni kutokea masana ukiwa unaenda goba kituo cha 3 kutokea masana ukiwa unaenda goba,. sqmt 420 bei milion 120 maongezi pana hati,.nikiwanja cha 4 kutoka lami ya goba hadi sait
0762 652 066
0692904876
071904876 Dalali mbez bechi afircana kuona kiwaja elifu30k