Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
🗯️ KIWANJA KINAUZWA
📍 GOBA CENTRE
📍 BEI NI 55,000,000/=
_____
_____
• Kina ukubwa wa SQM 670
* Kina Hati Miliki
* Kimejengwa Fensi upande, na upande mwingine kuna msingi wa fensi
* Mtaa Ushajengeka
* Huduma za Kijamii zipo
#Umbali KM 1 kutoka Lami
_______
★ *MUHIM SANA*
#Kupelekwa kuona Kiwanja 40,000/=
№:- 0753172516