Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa
Goba Muungano.
Sqm; 2,901
kutoka lami ya Goba centre ni km 3.5
Mivumoni 2
Salasala mwisho wa lami 1.5
Pamepimwa, hati ipo
Ni kizuri kwajili ya makazi.
Mtaa mzuri sana,.
Bei: Million 150
Maongezi yapo
Pg. 0754 587 611
0718 950 277