Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Watu wengi wanafaidika kwa kununua ardhi nje ya mji kwasababu bado unaweza kupata eneo kubwa kwa gharama nafuu
Kwa mfano ukinununua eneo leo GOBA,MADALE, kuanzia sqm 4000 sio chini ya milioni 200 na sio kila mtu anauwezo huu
Wengi wanafanya maamuzi ya kununua maeneo pembezoni ya mji,
kwa mteja huyu alinunua eneo hili la sqm 8000 kwa milioni 28 tu. Eneo linapatikana DUNDANI, mbele kidogo ya KISEMVULE, KILWA ROAD, mkoa wa PWANI.
Ameshaanza ujenzi ya nyumba ya kuishi na mabanda kwa ajili ya ufugaji wa ng’ombe na kuku..Na plan ni kuhamia hapo baada ya miaka 3 tu🤸🏿♂️🤸🏿♂️🤸🏿♂️🤸🏿♂️
Eneo tulifanya process ya upimaji na ameshapata hati…
Karibu kama na wewe una uhitaji wa eneo kwa ajili ya makazi, biashara usiisit kuwasiliana nasi kupitia namba zetu 0710855997, 0752855996