Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam







Kiwanja kizuri sana kona plot kinauzwa:
Kipo mtaa mzuri sana unajengeka kwa kasi
Ukubwa-sqm 800
Kimepimwa bado Hati
Bei-ml 68 maongezi
Location- goba kulangwa
Umbali-km 1.5 kutoka main road kanjibai road
Karibuni
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747