Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam




KIWANJA, UKUBWA WA SQM.400, TSHS. 45 MILIONI,
GOBA MTAMBANI.
Ni umbali wastani wa kilomit 2 tu kutoka KITUO CHA GOBA KWA AWADHI
(Ukitokea MASSANA ni kabla ya Senta)
KINAANGALIA BARABARA PANA YA MTAA
Ni pazuri na Panafaa kujenga Nyumba yako tulivu,
Au tena Apartments na Maduka ya Biashara.
Njia ni nzuri.
Huduma za Umeme na Maji zipo jirani tu.
Eneo lijengeka vizuri.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________Fs
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.