Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


11/6/2024
Nyumba inauzwa nzuri sana
Location GOBA center
Ina vyumba vinne master bedroom 2
Daining sebule jiko pablick toilet maji
Umeme paving block electric fence
Garden swimming pool CCTV camera
Bei mil 700 maongez yapo
Umilki hati milik toka wizara ya ardhi
Ukubwa eneo sqmt 1000
Contact Whatsapp
0683983630
0677891011
Sevice chage elfu 50