Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Goba mpakani,
Unaingilia madale mwisho, (kushoto kama unatokea njia nne)
Kutoka lami km 3
Kiwanja kina ubukwa wa 10 kwa 30
BEI; Million 10 maongezi.
Kina documents za serekali ya mtaa.
Mtaa mzuri sana,.
Piga;
#0710614924
#0688653940
Karibuni sana