Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ya kumalizia finishing:
Vyumba vi 3 kimoja masta
Dirning sitting jiko stoo na public toilet
Eneo- sqm 400
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 40 maongez
Location- goba tegete A
Umbali-km 1.7 kutoka main road
Karibuni
Call WhatsApp
0719523533
0748887892
0689590210 WhatsApp