Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Goba njia nne (kama unaelekea kimara)
Kimepakana na lami.
Kina ukubwa wa Sqm 1,600
Ni kizuri kwajili ya kujenga
- ukumbi
- Yard
- Godown
- shopping centre
- Frame za biashara
N.k
BEI; Million 420
Maongezi yapo.
karibuni sana
__
#0714335450
#0714335450