Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
Nyumba (apartments 4) zinauzwa Tsh ml 300.
Goba-Makongo,Dar es salaam Tanzania
================================
■Kila nyumba moja,ina vyumba 2 vya kulala/vyumba vyote vina choo na bafu/sebure/jiko/sehemu ya kulia chakula/choo na bafu vya familia/umeme-luku/maji-dawasa/nk
■Ukubwa wa eneo Sqm 840,
■Umiliki : Hati miliki ya wizara ya aridhi safi.
________________
■Mnunuzi : Atalipia Tsh 30,000/= kupelekwa kuoneshwa nyumba.
_________________
■Napatikana : Kinyerezi Dar es salaam Tanzania
■ Piga simu/WhatsApp no +255(0)689508094.