Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA GOBA KWA AWADHI
_ Eneo Lina Ukubwa wa 20 Kwa 18
_ Kiwanja kina Umeme na Maji
_ Kiwanja ni tambarale na kina vyumba vi3 vya Kupangisha (unaweza kuvunja)
_ Ni kiwanja Cha 3 kutoka barabara kuu ya Mtaa
_ Umbali wa Km 1.5 kutoka Goba Road (Main Road)
_ Usafiri ni uhakika boda 1000 mpaka kiwanjani
_ Eneo Lina Hati ya Mauziano ya Serikali za mtaa
_ Bei Ni Million 21 ( Maongezi Yapo Kwa Mteja SERIOUS)
Survey Charge Ni ELFU 25
PIGA SIMU
0719969102