Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
Plot safii inauzwa ipo goba mtaa wa tegeta A
Goba road kituo ni
njiapanda tegeta A
Ukichukua bajaji elfu moja
Ukubwa sq mt 800
Bei yake million 38 maongezi kidogo yapo
Wahi tuanze mwaka na malengo
Hata kwa awamu anachukua
Service charge 50,000/=
0782 724 115