Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA GOBA KWA ULOMI.
Umiliki: Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa
Ukubwa Wa Eneo: SQM 450
Umbali: 1 Kilometres Kutoka Goba Road
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo Karibu
Bei : 22 Million (Maongezi Yapo)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=