Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa; Goba magorofani.
Kiwanja kipo mita 500, kutoka lami.
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 3,500
Hati ipo
Ni kizuri kwajili ya makazi.
Mtaa mzuri sana,.
Bei: 400 million.
Piga; 0754 587 611
; 0718 950 277
Karibuni sana.
Office Location📍; Goba, Makongo road