Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa mahali kilipo ni goba kontena kiwanja kipo umbali wa miter 500 kutoka usawa wa barabara ya lami ya goba bei mil 45 kiwanja kina ukubwa wa sqm 1000 umeme maji vipo vyote kimepimwa hati bado inasubiliwa
Karibuni