Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


Kiwanja Kizuri kwa Bei Nafuu – Goba Tegeta A (Mwanzoni Kabisa)
Unatafuta kiwanja cha bei nafuu kwenye mtaa mzuri? Hii ni fursa yako!
Kiwanja kinapatikana Goba Tegeta A, sehemu ya mwanzo kabisa – karibu na huduma zote muhimu.
Ukubwa: SQM 600 – nafasi tosha kabisa kwa ujenzi.
Bei: Milioni 30 tu!
Mtaa tulivu na wa kisasa
Barabara safi zinapitika muda wote
Umiliki halali na salama
Usikose hii nafasi ya kipekee!
Wasiliana nasi:
Simu / WhatsApp: 0742 892 195