Kiwanja kinauzwa Goba, Dar Es Salaam


PLOTS NZURI ZINAUZWA
Karibu ujipatie Kiwanja kizuri kwa bei nafuu sana
▪Ni km 1.5 kutoka Main Road (Goba - Madale Road)
▪️Miundombinu yote ipo: barabara nzuri inapitika muda wote, umeme upo, maji ya Dawasa yapo
▪Eneo lipo pazuri, sio mteremko hamna bonde wala korongo
Location : Madale Mivumoni, ilipo shule ya Atlas (Ni mpakani mwa Goba kulangwa na Madale )...unaingilia Goba Njia Nne
Ukubwa wa plots: Ni kuanzia Sqm 400 na kuendelea
Bei: Tzs 16,000,000 kwa Sqm 400 (Mazungumzo Yapo)
Kuna Plots za Sqm 500, 600, 700 (Angalia kwenye ramani ni picha ya mwisho) & kama unahitaji Sqm kubwa Zaidi unaweza kuunganisha
Tuwasiliane: 0757 897 406 (WhatsApp/Call/Txt)
Site visit: Muda wowote
makazibora_realestate #tuishipazuri #makazibora