Kiwanja kinauzwa Heka, Singida
NAUZA HILI SHAMBA
UKUBWA NI HEKA MBILI NA ROBO
SHAMBA LINA MIGOMBA 500 NA MITI YA MIPARACHICHO IKO 55
SHAMBA LIKO BARABARA KUU KABSA
SHAMBA LINA MTO UMEPITA KWAHIO LINAFAA KWA KILIMO CHA UMWAGILIAJI NK
Bei million 30 tu MAELEWANO YAPO KIDOGO
LOCATION TUKUYU MBEYA JIJI
MAWASILIANO 0756258721