Kiwanja kinauzwa Heka, Singida


Shamba TAMBARARE LINAFAA UFUGAJI AU KILIMO
Bei Tsh 4m
Ukubwa heka 1
Maongezi yapo KIDOGO
Barabara yake ni nzuri hadi shambani
Umbali ni km 1 kutoka barabara ya lami
Tupigie simu 0785367831
Whatsapp 0769355987
Gharama ya kutembelea shamba ni TSH 30,000 tu
Njoo leo ulikague