Kiwanja kinauzwa Ihumwa, Dodoma
KIWANJA KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA IHUMWA ELSHADAI JIJINI DODOMA
Mahali; ihumwa Elshadai
Eneo ukubwa; 600 sq.m
Sifa; Kina HATI
Kina fensi upande mmoja
Kipo kilometre moja toka lami
Kipo sehemu nzuri
Bei, 18,900,000/= ( milioni kumi na nane na laki tisa tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"