Kiwanja kinauzwa Ihumwa, Dodoma


kiwanja kizur sana kinauzwa ihumwa Dodoma mjin 
kiwanja kipo sehem nzur imejengeka yaan miundo mbinu yote ya kijamii 
kiwanja kipo kilometers 15 kutoka mjin na kilometer1.5 kutoka morogoro road 
kiwanja kina ukubwa wa SQM 1823
sifa nyingine ya kiwanja kina fensi imezungushwa kote fupi 
Bei ni mil30 tu
mawasiliano : 0788401039




















