Kiwanja kinauzwa Ihumwa, Dodoma
KIWANJA KINAUZWA IHUMWA ELSHADAI BLOCK EE JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 681 sq.m
Kina HATI
Kipo dakika 3 toka lami
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Bei ni Tshs. 19,500,000/= ( milioni kumi na tisa na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA. NI KIWANJA NA NYUMBA"