Kiwanja kinauzwa Ipagala, Dodoma


NAUZA KIWANJA HICHO CHAPILI KUTOKA BARABARA YA LAMI MTAA WA MERIWA SECONDARY NJIA YA TORONTO 
———————————————————————————————
- Mtaa kilipo kiwanja ni Meriwa Ipagala 
- Ukubwa wa kiwanja ni Sqm 800
- Kiwanja Kina Pagale la room4
- Kiwanja ni chapili Kutoka lami 
- Kina fensi pande mbili 
- KINA FAA KWA 
 - Lodge
 - Apartment 
 - Nyumba ya Makazi 
 - unaweza jenga chochote Iwe Makazi au biashara 
- - Bei 40m 
- - Piga 0744783149 / WhatsApp 
- - WOTE MNAKARIBISHWA WAHI SASA TUWEKEZE




















