Kiwanja kinauzwa Isakalilo, Iringa


Hapa ni iringa mjini ....isakalilo b area....ruaha national park road....
Hiki kituo cha mafuta tunakiuza
Details zaid ujazo wa pumps angalia video
Pumps $ nozzle 6
Plot size.....Kuna plot 2 ...
Moja ya mbele yenye sheli na ya nyuma ni nyumba za wafanyakaz na parking
Bei....850M negotiable
Size....sheli Ina sqm 2500
Mtj akitaka na eneo La nyuma ni eka 2 na bei wat a negotiate.....
Documents zote ni title deed
Contact 0712531657
0789731695







