Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma
📌 Nauza kiwanja iyumbu mwinyi
📌 kiwanja kina sqm 524
📌 cha pili barabara kubwa
📌 500meter mpka lami kwenda kwenye bajaji unatembea kwa mguu boda unapoteza ela tu
📌 napokea malipo kwa instalment au cash
📌 cash ni 6.5ml instalment ni 7ml
📌 piga simu twende site Tajirii 🤝