Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU WEST /USHUANI JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 750 sq.m
Kina HATI
kipo barabara kubwa ya mita 30
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Bei ni Tshs. 25,500,000/= ( milioni ishirini na tano na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"