Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma
KIWANJA CHA PILI LAMI KINAUZWA IYUMBU SHULE YA MFANO JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 350 sq m
Kina HATI
CORNER Plot
Maii/Umeme upo
Eneo limejengeka
Bei; 18,500,000/= ( milioni kumi na nane na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"