Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


Uwanja unauzwa Dodoma Iyumbu West
Uwanja wa 4 kutoka lami
lami ya kutoka #udom kwenda #ihumwa
ukubwa wa uwanja 773 m²
nyaraka: hati ya miaka 99
bei yake 27 million 💰
pamejengeka sana na panafikika kirahisi sana
uwanja ni mkubwa na mzuri sana
kufika site ni free
🚗💨 usafiri upoo
mawasiliano : 0767 80 90 79 📞
Tupo: Independence square, bank ya akiba ghorofa ya kwanza, #esari real estate dodoma