Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU NYUMA YA SHELL JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,335 sq.m
Cha pili barabara ya mita 30
Kipo dakika mbili toka lami
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 38,000,000/= ( milioni thelasini na nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"