Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma
KIWANJA KINAUZWA IYUMBU MTAA WA UDOM JIJINI DODOMA
Mahali, Iyumbu
Eneo ukubwa; 418 sq.m
Sifa; kipo kilometre moja toka lami
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Bei; 8,500,000/= ( miliioni nane na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"