Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


*KIWANJA KIZURI SANA CHENYE FENCE YA UMEME PANDE ZOTE KINAUZWA IYUMBU NORTH SHULE YA MFANO DODOMA JIJI*
- Ni kiwanja cha PILI toka LAMI
- *Kina electric fence pande mbili full decorated*
- Kina tofali za kuanzia ujenzi.
- Ukubwa SQM 700
📍 *BEI MILIONI 43ml*
KARIBU TUKUHUDUMIE 🤝
0672312302


















