Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINA FENSI UPANDE MMOJA KINAUZWA IYUMBU MTAA WA UDOM JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 418 sq.m
Kina HATI
Eneo limejengeka
Kina fensi upande mmoja
Maji/Umeme upo
Bei ni Tshs.12,000,000/= ( milioni kumi na mbili tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"