Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma
KIWANJA KINAUZWA IYUMBU SHULE YA MFANO JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 525 sq.m
Kipo kilometre moja toka lami
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kinafaa kwa MAKAZI
BEI ni Tshs 15,000,000/= ( milioni kumi na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"