Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KIPO MITA 100 KUTOKA LAMI KINAUZWA IYUMBU JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,000 sq.m
Kina HATI
Kipo mita 100 kutoka lami
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 40,000,000/= ( milioni arobaini tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"