Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KIPO MITA 15 KUTOKA LAMI KINAUZWA IYUMBU NYUMA YA SHELL JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 933 sq.m
Kina HATI
Kipo mita 15 kutoka LAMI
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 35,000,000/= ( milioni thelasini na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"