Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA IYUMBU SHULE YA MFANO JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 580 sq.m
Cha kwanza lami
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 48,000,000/= ( milioni arobani na nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"