Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU MTAA WA UDOM JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa; 600 sq.m
Kina HATI
Kipo kilometre moja toka lami
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs. 15,000,000/= ( milioni kumi na tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"