Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma
KIWANJA KINAUZWA NYUMA YA SHELL YA IYUMBU JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 715 sq.m
Cha kwanza barabara ya mita 30 ya Mtaa
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Mwendo wa Dakika moja toka lami
Bei ni Tshs. 26,000,000/= ( milioni ishirini na sita tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"