Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU NYUMA YA SHELL/ BLOCK AJ JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 640 sq.m
Kipo nyuma ya Shell
Dakika tatu toka lami
Maji/Umeme upo
Eneo limejengeka
Bei ni Tshs. 15,500,000/= ( milioni kumi na tano na laki tano tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"