Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU MTAA WA VENNY CONSTUCTION JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 701 sq.m
Kipo kilometre mbili kutoka lami
Maji/Umeme upo
Kikubwa
Kipo sehemu nzuri
Bei ni Tshs.14,000,000/= ( milioni kumi na nne tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"