Kiwanja kinauzwa Iyumbu, Dodoma


KIWANJA KINAUZWA IYUMBU WEST JIRANI NA TUME YA UCHAGUZI JIJINI DODOMA
Eneo ukubwa ni 1,319 sq.m
Kipo jirani na lami
Eneo limejengeka
Maji/Umeme upo
Kina HATI
kipo kilometer moja toka LAMI
Bei ni Tshs. 48,000,000/= ( milioni arobaini na nane tu)
Mawasiliano;
Call # 0713 338141
WhatsApp # 0655 494700
Follow;
housing_real_estate_dodoma
housing_real_estate_dodoma
"MAISHA NI KIWANJA NA NYUMBA"