Kiwanja kinauzwa Janga, Pwani


Janga, Kibaha, Pwani
1 year ago
Sh. 120,000,000
Unatafuta nyumba ya biashara?
NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO MBAGALLA CHAMANZI DOVYA
NYUMBA NI YA VYUMBA V5 YANI CHUMBA SEBULE NA CHOO YAKE
ZIPO 5
NA NYUMA PIA IPO NYUMBA YA VYUMBA V2 NA SEBULE NA CHOO YAKE NA JIKO
HII NYUMBA IMEJENGWA KWA MFUMO WA KUPANGISHWA
NYUMBA YOTEE INAWAPANGAJI
CHUMBA NA SEBULE NA CHOO YAKE
WANALIPA 120
NA HIYO YA NYUMA MPANGAJI ANALIPA LAKI 200000
JUMLA JAMAA ANAPOKEA LAKI 800000 LAKI NANE KWA MWEZI
JAMAA AMEKUMBWA NA JANGA
ENEO NI SQM 👉 500
BEI NI MIL 👉 120
0623961223